Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Carragher aiponda Liverpool kumuacha Thomas Tuchel

Skysports Arne Slot Thomas Tuchel 6533875 Carragher aiponda Liverpool kumuacha Thomas Tuchel

Tue, 30 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa zamani wa klabu ya Liverpool Jamie Callagher ameshangazwa na uamzi wa klabu hiyo kulipendekeza jina la kocha Arne Slot kutoka Feyenoord.

Nyota wa zamani wa klabu ya Liverpool Jamie Callagher ameshangazwa na uamzi wa klabu hiyo kulipendekeza jina la kocha Arne Slot kutoka Feyenoord. Callagher anaamini kuwa klabu hiyo ilipaswa kumsajili kocha wa sasa wa Bayern Munich Tomas Tuchel baada ya Jurgen Klopp kutokana na mafanikio aliyoyapata kocha huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live