Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Carragher: Casemiro aende kwa Warabu, Marekani United hapamfai

Carragher X Case Carragher: Casemiro aende kwa Warabu, Marekani United hapamfai

Tue, 7 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mara baada ya kiungo wa Manchester United Casemiro kucheza kwa kiwango cha chini sana kwenye mchezo wa ligi kuu Uingreza dhidi ya Crystal Palace jana, United ikipoteza 4-0, mchambuzi na mwanasoka wa Zamani wa Liverpool na Uingereza Jemie Carragher amesema kwa kiwango alichoonyesha jana kiungo huyo anapaswa kuwa kwenye ligi za ushindani mdogo kama Saudia na Marekani.

Mara baada ya kiungo wa Manchester United Casemiro kucheza kwa kiwango cha chini sana kwenye mchezo wa ligi kuu Uingreza dhidi ya Crystal Palace jana, United ikipoteza 4-0, mchambuzi na mwanasoka wa Zamani wa Liverpool na Uingereza Jemie Carragher amesema kwa kiwango alichoonyesha jana kiungo huyo anapaswa kuwa kwenye ligi za ushindani mdogo kama Saudia na Marekani. Casemiro kwenye mchezo hupo alicheza kwa kiwango cha chini sana kiasi kwamba alipitwa mara 7 na washambuliaji wa Palace kama Olise.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live