Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Carragher: Arsenal wakifungwa wasahau Ubingwa

YEFTG Carragher: Arsenal wakifungwa wasahau Ubingwa

Sat, 30 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtazamo wa Jamie Carragher kuelekea game ya Jumapili kati y Arsenal na Man City

“Kama City atafungwa bado siwatoi kwenye mbio za ubingwa naamini wanaweza kubeba taji lakini kama Arsenal watafungwa sioni dalili za wao kuibuka na kushinda tena taji”

“Ukichagua upande wa Liverpool ni wazi utatamani City ifungwe ila bado City anaweza kubeba hili taji hata kama atapoteza mechi hii”

Namna Carragher anavyowaua Arsenal kila wakati angekuwa bongo ,angeambiwa kala 10%

Chanzo: www.tanzaniaweb.live