Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Cameroon yapita 16 Bora kwa tabu!

Cameroon National Team Cameroon yapita 16 Bora kwa tabu!

Wed, 24 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa ya Cameroon imetinga hatua ya 16 bora ya fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) kutokana na ushindi wake wa mabao 3-2 iliyoupata dhidi ya Gambia muda mfupi uliopita. - Kwa ushindi huo Cameroon iliyoanza vibaya fainali hizo ikitoka sare mchezo mmoja na kufungwa mmoja, imemaliza mechi zake za Kundi C ikiwa na pointi nne sawa na Guinea, lakini Cameroon ina faida ya mabao ya kufunga. Guinea sasa wanasubiri nafasi ya ‘best loser’. Senegal imeongoza kundi ikiwa na pointi tisa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live