Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Cameroon wanamkosea Onana

Onananam Cameroon wanamkosea Onana

Fri, 15 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

El Hadji Diouf anasema kama angekuwa Onana asingekubali kuanzia sub kwenye mechi ya AFCON2023 dhidi ya Nigeria.

“Onana ni mchezaji ninayemuamini sana na nampongeza kwa mapenzi yake makubwa na timu.

“Inewezekana vipi kumpata kipa wa viwango vya Onana ambaye anacheza Manchester United na unamuacha kikosini. Kwangu ni kumkosea heshima na kama ningekuwa Onana nisingekubaliana na hilo.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live