Thu, 16 Nov 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Nyota wa Ufaransa Eduardo Camavinga amelazimika kuondoka katika mazoezi ya timu ya Taifa baada ya kupata jeraha la goti.
Nyota wa Ufaransa Eduardo Camavinga amelazimika kuondoka katika mazoezi ya timu ya Taifa baada ya kupata jeraha la goti. Camavinga aligongana na Ousmane Dembele mazoezini hali iliyopelekea kupata jeraha. Vipimo vitafanyika ili kuweza kujua ukubwa wa jeraha hilo.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live