Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Camara alishindwa kutembea alipotolewa uwanjani dhii ya Ivory Coast

Camara Alishindwa Kutembea Alipotolewa Uwanjani Dhii Ya Ivory Coast Camara alishindwa kutembea alipotolewa uwanjani dhii ya Ivory Coast

Tue, 30 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa timu ya taifa ya Senegal Lamine Camara alishindwa kutembea kutoka uwanjani kwenda kwenye vyumba vya kubadilishia nguo kutokana na kutolewa katika mashindano ya AFCON.

Mchezaji wa timu ya taifa ya Senegal Lamine Camara alishindwa kutembea kutoka uwanjani kwenda kwenye vyumba vya kubadilishia nguo kutokana na kutolewa katika mashindano ya AFCON. Pichani ni mchezaji mwenzake Cheikhou Kouyaté akimbeba kumpeleka kwenye vyumba vya kubadilishia nguo baada ya kipigo kutoka kwa Ivory coast.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live