Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CRDB yaingia mkataba na TFF wa Bil. 3.76 kombe la FA

CRDB Yaingia Mkataba Na TFF Wa Bil. 3.76 Kombe La FA CRDB yaingia mkataba na TFF wa Bil. 3.76 kombe la FA

Tue, 2 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bank ya CRDB na TFF imeingia mkataba wa udhamini wa miaka mitatu na nusu na CRDB itatoa shilingi Bilioni 3.76 kwa kipindi chote cha miaka mitatu na nusu.

Kwa msimu huu watatoa dollars laki moja sawa na shilingi milioni 255.

Na kwa sasa Kombe la FA litaitwa CRDB BANK FEDERATION CUP.

Mchanganuo wa Kiasi cha Billion 3.76 ni ikiwemo na makato ya kodi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live