Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CRDB kukipiga na NMB Simba Day

CRDB Kukipiga Na NMB Simba Day CRDB kukipiga na NMB Simba Day

Tue, 1 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ni siku ya unyama mwingi tarehe 6-8-2023 ndani ya Lupaso moja wapo ya mechi kali hapa Crdb Bank kule Nmb Bank patakua hapatoshi !

Ni siku ya unyama mwingi tarehe 6-8-2023 ndani ya Lupaso moja wapo ya mechi kali hapa Crdb Bank kule Nmb Bank patakua hapatoshi ! Kuelekea mtanange huo Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba Imani Kajula aliwakabidhi vifaa mbali mbali kwa mtendaji mkuu wa Crdb @CRDBBankPlc, Abdulmajid Nsekela katika makao makuu ya Benki ya Crdb.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live