Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CEO mpya Simba afunguka kwa mara ya kwanza baada ya kutambulishwa (+Video)

Video Archive
Thu, 26 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Leo Januari 26, Klabu ya Simba imemtambulisha Imani Kajula kuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa klabu hiyo akichukua nafasi ya Barbara Gonzalez aliejiuzulu Disemba mwaka jana.

Imani Kajula kabla ya kukamata wadhifa huo ndani ya Simba alikuwa Afisa mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Masiko na Mwasiliano ya EAG Group tangu mwaka 2013.

Sasa baada ya utambulisho wake ndani ya Klabu hiyo kongwe nchini amefanya mahojiano na kuzungumza mambo kadha wa kadha atakayokwenda kufanya ili kuleta tija ndani ya klabu hiyo.

Tanzama video kufahamu alichokizungumza CEO huyo mpya;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live