Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CEO Singida: Hatufikirii kutafuta Kocha mwingine (+Video)

Olebile Sikwane.jpeg Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Singida Fountain Gate, Olebile Sikwane

Tue, 9 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Singida Fountain Gate, Olebile Sikwane amesema wana imani na kocha wao, Thabo Senong ambaye ameongoza kikosi hicho katika michuano ya Kombe la Mapinduzi na hawatatafuta mwingine kwasasa.

Msikilize Olebile akizungumza kwa urefu hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by Mwanaspoti (@mwanaspoti_tz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live