Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CEO Namungo atoa taarifa mpya ajali ya mashabiki (+Video)

Video Archive
Thu, 21 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtendaji Mkuu wa Namungo FC, Omary Kaya amezungumza na Mwanchi Digital baada ya mchezo waliopoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Yanga.

Mtendaji Mkuu wa Namungo FC, Omary Kaya amezungumza na Mwanchi Digital baada ya mchezo waliopoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Yanga. Aidha CEO amezungumzia kuhusu ajali ya basi waliyopata mashabiki wa timu hiyo ambao walikuwa wakisafiri kwenda Dar es salaam kushuhudia mchezo dhidi ya Yanga. CEO ametoa taarifa mpya kufusu vifo kwenye ajali hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: