Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CEO Man City atimkia Man United

Omar Berrada Omar Berrada

Mon, 22 Jan 2024 Chanzo: Mwanaspoti

‘Klabu’ ya Manchester United imemteua aliyekuwa CEO wa ‘klabu’ ya Man City, Omar Berrada kuwa Afisa Mtendaji Mkuu mpya katika ‘timu’ hiyo akichukua nafasi #RichardArnold aliyeachilia kiti hicho baada ujio wa Sir Jim Ratcliffe ‘klabuni’ hapo.

‘Klabu’ ya Manchester United imemteua aliyekuwa CEO wa ‘klabu’ ya Man City, Omar Berrada kuwa Afisa Mtendaji Mkuu mpya katika ‘timu’ hiyo akichukua nafasi #RichardArnold aliyeachilia kiti hicho baada ujio wa Sir Jim Ratcliffe ‘klabuni’ hapo. Inaelezwa kuwa raia huyo wa Uhispania# amewahi kufanya kazi na ‘kocha’ Pep Guardiola pia amewahi kuwa mkuu wa uendeshaji wa ‘klabu’ ya Manchester City.

Chanzo: Mwanaspoti