Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CEO Kagera Sugar ang'atuka

GPfTgaCXoAAGpeM Afisa mtendaji mkuu wa klabu ya Kagera Sugar Ndg. Ibrahim Mohamed

Sun, 9 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Afisa mtendaji mkuu wa klabu ya Kagera Sugar Ndg. Ibrahim Mohamed ametanga kuondoka kwenye viunga vya klabu ya Kagera Sugar.

Ibrahim alitambulishwa na Kagera Sugar mnamo August 12, 2023 kuwa Afisa mtendaji mkuu wa klabu hiyo akitoka kuwa meneja wa klabu ya Singida Big Stars.

Sababu za C.E.O kubwaga manyanga bado hazijawekwa wazi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live