Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CCL: Half Time CR Belouizdad 2-0 Yanga

CR Belozdad V Yanga CCL: Half Time CR Belouzdad 2-0 Yanga

Fri, 24 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dakika 45 za kwanza zimemalizika huko nchini Algeria, wenyeji CR Belouizdad wapo mbele kwa mabao 2-0 dhidi ya Wananchi Yanga SC.

Magoli ya Belouizdad yamewekwa kimiani na Benguit dakika ya 10 ya mchezo na Abdul dakika ya 45.

Mbungi hii ya kwanza kwa hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika ipo live, tusubiri kipindi cha pili tuone kitakuwaje.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live