Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CAS yapiga kimya kesi ya Morrison na Yanga

Morisson Cas Mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison

Wed, 25 Aug 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kesi inayomuhusu Mshambuliaji wa Simba Bernard morrison na Klabu ya Yanga mpaka sasa bado giza kutokana na mahakama ya usuluhishi ya masuala ya kimichezo CAS kutotoa maamuzi yoyote yale.

Kwa mujubu wa CAS kesi hiyo ingetolewa hukumu siku ya jana Agosti 24 na si zaidi ya hapo lakini mpaka kufikia majira ya saa sita za usiku bado hakukua na taarifa zozote kuhusu kesi hiyo.

Klabu ya Yanga ilipeleka shauri lake kwa mahakama hiyo wakimlalamikia Morrison kuvunja mkataba halali na kujiunga na mahasimu wao Simba SC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live