Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#CAFCONFEDERATION UPDATES: Simba 2- Red Arrows 0

FFSAvO7X0AI9Osw Simba inaongoza kwa mabao 2-0

Sun, 28 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ikiwa ndio kwanza dakika ya 30 katika dimba la Mkapa, mnyama Simba anaongoza kwa magoli 2-0 ambayo yamepatikana ku[pitia kwa Morisson na Meddie Kagere.

Ikiwa ndio kwanza dakika ya 30 katika dimba la Mkapa, mnyama Simba anaongoza kwa magoli 2-0 ambayo yamepatikana ku[pitia kwa Morisson na Meddie Kagere. Mpaka sasa Bernard Morisson anaonekana kuwa mwiba kwa Red Arrows katika mchezo huu akiwa amefunga goli 1 na kutoa pasi ya bao moja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live