Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#CAFCONFEDERATION UPDATES: 80' Simba 3 - Red Arrows

Ben Morrisson Morrison afunga goli la tatu

Sun, 28 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba SC wanaendelea kutakata katika dimba la Mkapa Jijini Dar es Salaa dhidi ya Red Arrows ya Zambia.

Bernard Morisson anawafungia Simba goli la tatu na kufanya ubao wa matokeo kusomeka 3-0.

Meddie kagere amekwenda nje ameingia John Bocco, Huku nafasi ya Wawa akiingia Inonga Baka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live