Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#CAFCCUPDATES: FT Red Arrows 2- Simba 1

Hassan Hd Mfungaji wa goli pekee la Simba, Hassan Dilunga

Sun, 5 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dakika 90 katika dimba la Heroes zinakamilika kwa Simba kupoteza kwa magoli 2-1 dhidi ya wenyeji Red Arrows katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika.

Dakika 90 katika dimba la Heroes zinakamilika kwa Simba kupoteza kwa magoli 2-1 dhidi ya wenyeji Red Arrows katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika. Simba wanafuzu kwenda hatua inayofuata baada ya kushinda kwa aggregate ya magoli 2-4 baada ya kushinda magoli 3-0 Jijini Dar wiki moja iliyopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live