Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#CAFCC: Singida wawachapa Future 1-0

Https:  Www.instagram.com P CxTAwljIhdU #CAFCC: Singida wawachapa Future 1-0

Sun, 17 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Singida FG wametanguliza mguu mmoja kuelekea mchezo wao wa marudiano baada ya kuibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Future FC ya Misri.

Mchezo huo uliokuwa wa kushambuliana kwa kupomezana, umepigwa leo Septemba 17 kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar ambapo goli hilo liliwekwa wavuni na Elvis Rupia.

Ushindi huo ni muhimu na sasa wanacho kibarua cha kwenda kulilinda goli hilo katika mchezo wa marudiano ili waweze kusonga mbele katika Kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live