Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#CAFAWARDS2022: Senegal timu bora ya mwaka

Senegal Timu Bora Ya Mwaka.jpeg Timu bora ya mwaka, Senegal

Thu, 21 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabingwa wa AFCON 2021, kikosi cha Senegal kimechaguliwa kuwa timu bora ya mwaka barani Afrika katika tuzo za CAF zinazofanyika usiku huu katika mji wa Rabbat nchini Morocco.

Mabingwa wa AFCON 2021, kikosi cha Senegal kimechaguliwa kuwa timu bora ya mwaka barani Afrika katika tuzo za CAF zinazofanyika usiku huu katika mji wa Rabbat nchini Morocco. Senegal walinyakua Ubingwa wa AFCON, Februari mwaka huu mbele ya Mafarao wa Misri katika mchezo wa Fainali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live