Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#CAFAWARDS2022: Sadio Mane mchezaji Bora Afrika

Sadio Mane.jpeg Sadio Mane

Thu, 21 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Senegal na Bayern Munich, Sadio Mane amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwaka Afrika 2022, akiwapiku Mohammed Salah wa Egypt na mlinda mpango Eduardo Mendy wa Senegal na Chelsea alioingia nao hatua ya fainali.

Mshambuliaji wa Senegal na Bayern Munich, Sadio Mane amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwaka Afrika 2022, akiwapiku Mohammed Salah wa Egypt na mlinda mpango Eduardo Mendy wa Senegal na Chelsea alioingia nao hatua ya fainali. Sadio mane amepata mafanikio makubwa mwaka huu akiwa na Senegal ambapo alichaguliwa kuwa mchezaji bora wa AFCON 2021, pia akibeba Kombe akiwa na Senegal

Chanzo: www.tanzaniaweb.live