Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#CAFAWARDS2022: Aliou Cisse kocha bora wa Mwaka

Cisse Best Coach.jpeg Aliou Cisse aliiwezesha Senegal kubeba Ubingwa wa AFCON

Thu, 21 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Timu ya Taifa ya Senegal, Aliou Cisse amechaguliwa kuwa Kocha bora wa mwaka barani Afrika katika tuzo za CAF 2022 zinazofanyika nchini Morocco.

Kocha wa Timu ya Taifa ya Senegal, Aliou Cisse amechaguliwa kuwa Kocha bora wa mwaka barani Afrika katika tuzo za CAF 2022 zinazofanyika nchini Morocco. Cisse ameiwezesha Senegal kunyakua Ubingwa wa AFCON, lakini pia akiiwezesha timu hiyo kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia zitakazifanyika mwishoni mwa mwaka huu nchini Qatar.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live