Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CAF wavunja Mkataba na beIN

Caf Bein CAF wavunja Mkataba na beIN

Thu, 7 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la Soka Barani Africa (CAF) limevunja mkataba wa haki za matangazo ya michuano mbalimbali kwa shirika la habari la Qatar media group, beIN wenye thamani ya $415 million, uliokuwa wa miaka 12.

Shirikisho la Soka Barani Africa (CAF) limevunja mkataba wa haki za matangazo ya michuano mbalimbali kwa shirika la habari la Qatar media group, beIN wenye thamani ya $415 million, uliokuwa wa miaka 12. Kuvunja kwa mkataba huo kunaliacha shirikisho la soka Afrika CAF bila kituo chochote cha kimataifa kitakachoonyesha michuano mikubwa ijayo ya AFCON 2023 itakayofanyika nchini Ivory Coast.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live