Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CAF waukagua uwanja wa New Amaan Complex

CAF Waukagua Uwanja Wa New Amaan Comple CAF waukagua uwanja wa New Amaan Complex

Mon, 11 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Ukaguzi Kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), leo imefanya Ukaguzi wa Uwanja wa New Amaan Complex, Pamoja na Viwanja Vya Mau.

Timu ya Ukaguzi Kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), leo imefanya Ukaguzi wa Uwanja wa New Amaan Complex, Pamoja na Viwanja Vya Mau. New Amaan Complex, ni miongoni mwa kiwanja kitakachotumia katika Mashindano Mbalimbali ya CAF, ikiwemo, Mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa ndani(CHAN)pamoja na#AFCON2027.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live