Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CAF watangaza tarehe ya kuanza michuano ya AFCON

AFCON 2023 CAF watangaza tarehe ya kuanza michuano ya AFCON

Fri, 31 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika CAF, wametangaza tarehe rasmi ya kuanza Michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON 2023).

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika CAF, wametangaza tarehe rasmi ya kuanza Michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON 2023). Katika taarifa yake CAF wamesema Michuano hiyo itaanza Januari 13 na kumalizika Februari 11, 2024 huko Ivory Coast.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live