Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CAF wanadhani jezi ya Yanga ni jezi ya Taifa Stars?

Jezi Msdss CAF wanadhani jezi ya Yanga ni jezi ya Taifa Stars?

Tue, 5 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hivi waandaaji wa AFCON wanadhani kuwa jezi ya Klabu ya Yanga ndio jezi ya timu ya Taifa ya Tanzania au wao wameipenda tu?

Ukiangalia picha hii utagundua kuwa hapa ni kwenye chumba cha jezi zilizotumika kwenye wimbo rasmi wa AFCON 2023.

Jezi ya Yanga ndio jezi pekee ya klabu iliyoonekana na iliyovaliwa kwenye video hiyo ambayo itatumika kwenye michuano ya AFCON 2023 wakati jezi nyingine zote ni za timu za Taifa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live