Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CAF wamfungia na kumpiga Faini Diatta wa Senegal

Diatta Senegal Winga wa Senegal, Krepin Diatta

Wed, 14 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la mpira wa miguu barani Africa CAF limemtoza faini inayofikia £16,000 na kumfungia kucheza michezo 4 ya kimataifa mchezaji wa timu ya taifa ya Senegal Krepin Diatta

Hii ni baada ya kupatikana na hatia ya kutamka maneno yasiyofaa kwenye mashindano ya AFCON baada ya kutolewa na Ivory coast

Kilichotokea baada ya Senegal kutolewa Diatta alisema mashindano ya AFCON yamejaa rushwa na upangaji wa matokeo CAF ikipanga kumpa taji wamtakae.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live