Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CAF kuwachunguza Congo, Morocco

Congp Vs Morocco CAF kuwachunguza Congo, Morocco

Tue, 23 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la soka barani Africa CAF limetoa tarifa ya kuanza uchunguzi kwa shirikisho la soka la Morocco [FMRF]na shirikisho la soka Congo [FECOFA ]

Hii ni baada ya timu hizo kuanzisha vurugu baada ya mechi yao kumalizika kwa bao 1-1 hapo juzi.

Taarifa ya CAF inasema maamuzi na hatua za shirikisho zitawekwa wazi baada ya kukamilika kwa uchunguzi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live