Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CAF kuibeba Morocco

Max Gradel Morocco Flag CAF kuibeba Morocco

Sat, 20 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la soka barani Afrika CAF limesema kuwa litaiunga mkono Morocco katika katika kuwani uenyeji wa Mashindano ya Kombe la Dunia la FIFA la 2030.

Uongozi wa CAF, ukiongozwa na Rais, Dkt. Patrice Motsepe, umeweka msimamo huo kwenye kikao chake cha kamati ya Utendaji kilichofanyika mjini Rabat, Morocco.

Morocco inawania uenyeji huo wa Kombe la Dunia la FIFA 2030 pamoja na Uhispania, Ureno, Argentina, Uruguay na Paraguay.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live