Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CAF kufanya ukaguzi Viwanja vitakavyotumika CHAN

CHAN Winner CAF kufanya ukaguzi Viwanja vitakavyotumika CHAN

Wed, 6 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la soka barani Afrika CAF leo linafanya ukaguzi wa viwanja vitakavyotumika katika Mashindano ya CHAN 2024.

Mashindano hayo yatafanyika katika nchi za Uganda,Kenya,Tanzania na Zanzibar zilizoomba kuandaa kipute hicho.

Itakumbukwa kuwa matumaini ya Algeria kushinda taji la mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za nyumbani maarufu kama CHAN, yalitoweka baada ya kushindwa kufanya hivyo katika ardhi yake ya nyumbani, kwa kukubali kufungwa na Senegal kwa jumla ya penati 5-4 mwaka wa 2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live