Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CAF UPDATES: Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Jwaneng Galaxy

FCdn2uzX0AYK0VA Kikosi cha wekundu wa Msimbazi

Sun, 24 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba wanashuka dimbani kwa Mkapa muda mchache kutoka sasa, katika mchezo wa marudiano kuwania kufuzu kwa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.

Simba inakwenda kuwavaa Jwaneng Galaxy kutoka nchini Botswana ambao wiki moja iliyopita waliibuka na ushindi wa mabao 2-0.

Sare ama ushindi wa aina yoyote kwa Simba unawahakikishia kusonga mbele katika michuano hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live