Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Burnley wapanda dau kwa Staa wa Mamelodi Sundowns

Mamelodi Kitasa.jpeg Khuliso Mudau

Tue, 28 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Burnley ya ligi kuu ya England imewasilisha dau la R25M (3.3 Billion) kumpata Khuliso Mudau mwenye umri wa miaka 28,

Klabu ya Burnley ya ligi kuu ya England imewasilisha dau la R25M (3.3 Billion) kumpata Khuliso Mudau mwenye umri wa miaka 28, Mamelodi Sundowns ilikataa ofa hiyo na kuomba klabu hiyo yenye makao yake makuu nchini Uingereza kuongeza mara dufu ya ofa yao hadi R40M (5.3 Billion).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live