Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bukayo Saka mchezaji Bora wa Mwezi EPL

Bukayo Saka Mchezaji Bora Bukayo Saka

Fri, 31 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa Arsenal Bukayo Saka amechaguliwa kuwa mchezaji Bora wa mwezi wa tatu Ligi Kuu ya England.

Saka amebeba tuzo hiyo akiwapiku wakali kadhaa kama Alexander Isak (NEW), Alexis Mac Allister (BHA), Tyrone Mings (AVL), Mohamed Salah (LIV), Leandro Trossard (ARS).

Kwa mwezi wa tatu Saka amecheza michezo minne akifunga mabao matatu na kutoa pasi 2 za mabao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live