Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bukayo Saka aweka rekodi yake Arsenal

Bukayo Saka Too Bukayo Saka

Fri, 17 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bukayo Saka ni mchezaji pekee wa Arsenal katika historia ya Ligi Kuu ya England kuhusika katika bao dhidi ya timu zote alizowahi kukabiliana nazo kwa kufunga bao ama kutoa asisti iliyozaa bao.

Bukayo Saka ni mchezaji pekee wa Arsenal katika historia ya Ligi Kuu ya England kuhusika katika bao dhidi ya timu zote alizowahi kukabiliana nazo kwa kufunga bao ama kutoa asisti iliyozaa bao. Saka ndio kwanza ana umri wa miaka 22.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live