Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bruno afunika kufuzu Euro 2024

Bruno Fernandez Ww Kiungo wa Ureno, Bruno Fernandes

Wed, 18 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Timu ya Taifa ya Ureno Bruno Fernandes kwenye mechi za kufuzu EURO 2024.

Mchezaji anayeongoza kwa kutengeneza nafasi nyingi zaidi akiwa katengeneza nafasi(29)

Mchezaji aliyehusika kwenye magoli mengi zaidi yaani goals na assists kwa ujumla akiwa amehusika kwenye magoli(11)

Mchezaji aliyetengeneza nafasi kubwa zaidi za kufunga magoli akiwa ametengeneza nafasi(9)

Mchezaji aliyetoa pasi nyingi zaidi za magoli akiwa na assists(7).

Ten Hag anakosdea namna ya kumchezesha pale United?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live