Nyota wa Manchester United waliocheza mechi za kimataifa wamerejea rasmi Carrington na tayari wameanza matizi ya kufa mtu, kwaajili ya kujiandaa na msimu mpya wa 2023-24.
Nyota wa Manchester United waliocheza mechi za kimataifa wamerejea rasmi Carrington na tayari wameanza matizi ya kufa mtu, kwaajili ya kujiandaa na msimu mpya wa 2023-24. Kikosi cha Erik ten Hag kilisafiri kwenda Norway na kitaendelea na maandalizi ya mechi ya kirafiki dhidi ya Lyon, hata hivyo, Wachezaji kama Bruno, Casemiro, na Rashford wataendelea na mazoezi ya kujiweka fiti jijini Manchester kabla ya kwenda Marekani kwenye ziara na wakiwa huko watacheza mechi za kirafiki dhidi ya Arsenal, Wrexham, Real Madrid na Borussia Dortmund.