Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bruno Guimarães aziingiza vitani Man City, Arsenal

Bruno Guimaraes Newcastle 860x484 Bruno Guimarães

Wed, 24 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu za Arsenal na Manchester City zinamenyana kumnunua kiungo wa Newcastle United, Bruno Guimaraes kwenye dirisha kubwa la usajili.

Klabu za Arsenal na Manchester City zinamenyana kumnunua kiungo wa Newcastle United, Bruno Guimaraes kwenye dirisha kubwa la usajili. Timu hizo hii ni mara ya pili mfululizo wanakutana kwenye vita ya kugombea mchezaji baada ya msimu uliopita kujikuta kwenye vita ya kumgombea Declan Rice ambapo Arsenal alishinda vita hiyo kwa kukubali kulipa ada iliyovunja rekodi ya klabu hiyo ya pauni milioni 105 kwa West Ham United.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live