Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bruno Gomez ajiunga na timu ya Brazil

Bruno Barroso Tanga Bruno Gomez ajiunga na timu ya Brazil

Sat, 9 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Singida Fountain Gate, Bruno Gomes Barossa amejiunga na Klabu ya Athletic Club Futbol inayoshiriki Ligi Daraja la nne kwenye ngazi za Madaraja ya Ligi nchini Brazil.

Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Singida Fountain Gate, Bruno Gomes Barossa amejiunga na Klabu ya Athletic Club Futbol inayoshiriki Ligi Daraja la nne kwenye ngazi za Madaraja ya Ligi nchini Brazil. Bruno Gomes ambaye ni raia wa Brazil hivi karibuni alivunja Mkataba na iliyokuwa klabu yake ya Singida FountainGate baada ya kufikia makubalino ya pande zote kufuatia mchezo huyo kuomba kuondoka klabuni hapo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live