Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bruno Fernandes, namba zake hazidanganyi Man United

Bruno Fernandes Goals Bruno Fernandes

Thu, 19 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya bao alilofunga dhidi ya Crystal Palace usiku wa jana, Bruno Fernandes sasa amehusika katika mabao 100 kwenye michezo 153 ya mashindano yote tangu alipojiunga na Manchester United.

michezo 153

mabao 55

pasi za mabao 45

Bruno Fernandes pia bao alilofunga hapo jana lilikuwa ni bao lake la 40 katika premier league tangu alipojiunga na Manchester United.

michezo 107

mabao 40

pasi za mabao 28

mabao 20 (nyumbani)

mabao 20 (ugenini)

Ni wachezaji wanne pekee waliofunga mabao 20+ nyumbani na mabao 20+ ugenini katika premier league tangu Bruno Fernandes alipocheza mchezo wake wa kwanza kabisa katika ligi hiyo mwezi February 2020, wachezaji hao ni Mohamed Salah,Harry Kane,Son Heung-Min na Bruno Fernandes mwenyewe.

Bruno Fernandes katika premier league msimu

michezo 18

dakika 1620

mabao 4

pasi za mabao 3

amehusika katika mabao 7

Ana wastani wa kufunga bao au kutoa pasi ya bao kila baada ya dakika 231

Chanzo: www.tanzaniaweb.live