Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bruno Fernandes asogea anga za Lionel Messi

Skysports Bruno Fernandes Manchester United 5478472 Bruno Fernandes

Fri, 14 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Manchester United, Bruno Fernandes amefikisha pasi za mabao 50 katika mashindano yote tangu alipojiunga na Manchester United.

Mechi 174

Mabao 60

Pasi za mabao 50

Tangu alipocheza mechi yake ya kwanza kabisa akiwa na Manchester United February 2020, Bruno Fernandes ni mmoja kati ya wachezaji wawili pekee katika ligi tano bora za ulaya, walioweza kufunga mabao 50+ na kutoa pasi za mabao 50+ kuanzia hiyo February 2020 hadi sasa.

Lionel Messi (mabao 80 / pasi za mabao 59), Bruno Fernandes (mabao 60 / pasi za mabao 50)

Bruno Fernandes katika mashindano yote msimu huu hadi sasa

Mechi 48

Dakika 4173

Mabao 10

Pasi za mabao 11

Kuhusika katika bao kwa kila dakika 379

Chanzo: www.tanzaniaweb.live