Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bruno Fernandes apata ajali ya gari

Bruno Fernandes Accident Ajali iliyomuhusisha Kiungo wa Man United

Mon, 18 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji nyota wa Manchester United, Bruno Fernandes amepata ajali ya gari majira ya asubuhi Jijini Manchester.

Taarifa zinaeleza kuwa wahusika wote katika ajali hiyo hakuna aliyepata majeraha mabaya katika ajali hiyo.

Fernandes anatarajiwa kufanya mazoezi na wachezaji wengine wa kikosi cha Ralf Rangnick leo, kabla ya kumenyana na Liverpool kwenye Ligi ya Uingereza Jumanne usiku.

Hata hivyo kwa upande wa klabu ya Manchester United hawajatoa taarifa yoyote mpaka wakati huu kuhusiana na ajali hiyo wala maendeleo ya mchezaji wake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live