Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bruno Fernandes akutwa na Corona

St Andrews Bruno Fernandes BTS26 20210803559190061628081259832 Large Bruno Fernandes

Mon, 14 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Manchester United, Ralf Rangnick amethibitisha kuwa kiungo wa kikosi hicho Bruno Fernandes amepimwa na kukutwa na maambukizi ya Virusi vya Uviko-19.

Kocha wa Manchester United, Ralf Rangnick amethibitisha kuwa kiungo wa kikosi hicho Bruno Fernandes amepimwa na kukutwa na maambukizi ya Virusi vya Uviko-19. Kwa sababu huenda akakosekana katika mchezo wa mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Atletico Madrid Jumanne Machi 15.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live