Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bruno Fernandes: Kila timu inatamani kucheza kama Man City

Bruno Fernandes X Marus Lost Bruno Fernandes: Kila timu inatamani kucheza kama Man City

Thu, 21 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Manchester United, Bruno Fernandes umempa sifa kocha Manchester City, Pep Guardiola akisema ameubadilisha sana mpira na kila timu inatamani kucheza kama Man city

Kiungo wa Manchester United, Bruno Fernandes umempa sifa kocha Manchester City, Pep Guardiola akisema ameubadilisha sana mpira na kila timu inatamani kucheza kama Man city “Guardiola ni kocha aliyeubadilisha mpira na kila mtu anatamani kuwa Pep Guardiola wala hakuna sababu ya kuficha na Kila timu inatamani kucheza kama Man City “

Chanzo: www.tanzaniaweb.live