Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Breaking: Nuno Santo atimuliwa Spurs

Santo Out Nuno Espirito Santo

Mon, 1 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliekuwa Meneja wa Tottenham Hotspurs Nuno Esprito Santo, ametimuliwa katika wadhifa wake baada ya mfululizo wa matokeo mabaya ndani ya Kikosi hicho.

Wikiendi iliyopita Nuno alishuhudia kikosi chake kikipoteza nyumbani kwa magoli 3-0 dhidi ya Manchester United.

Katika taarifa yake, Klabu ya Tottenham imesema kuwa Nuno na benchi lake la ufundi, Cathro, Barbosa na Dias wameondolewa katika majukumu ya kuinoa Spurs.

Spurs kwa sasa inakamata nafasi ya nane katika msimamo wa Ligi Kuu England ikiwa na alama 15, baada ya kucheza michezo 10.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live