Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Breaking: Mwamnyeto asaini miaka miwili Yanga

Mwamnyetooo Ms Bakari Mwamnyeto akisaini mkataba mpya Yanga.

Wed, 26 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki na Nahodha wa Klabu ya Yanga SC, Bakari Mwamnyeto amesaini Mkataba wa miaka miwili wa kuendelea kuitumikia Klabu ya Yanga mpaka June 30, 2026.

Beki na Nahodha wa Klabu ya Yanga SC, Bakari Mwamnyeto amesaini Mkataba wa miaka miwili wa kuendelea kuitumikia Klabu ya Yanga mpaka June 30, 2026. Mwamnyeto ambaye mkataba wake ulikuwa unatamatika msimu huu, amekuwa akiwindwa na Klabu ya Simba ambao walikuwa wakitaka huduma ya kitasa huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live