Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Breaking: Gomez aachishwa kazi Simba SC

Didier Gomes Da Rosa580 580x473 Kocha wa Klabu ya Simba, Didier Gomes Da Rosa afutwa kazi

Tue, 26 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Didier Gomes amefutwa kazi kwenye Klabu ya Simba SC.Taarifa hiyo imetolewa na Simba kupitia Mitandao yake ya Kijamii.

Gomez aliajiriwa Simba SC msimu uliopita kuchukua nafasi ya Sven Vandebroek ambaye aliachana na Simba SC kwa madai ya majukumu ya kifamilia lakini baadae akaibukia klabu ya FAR RABAT ya Morocco.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live