Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#Breaking: FIFA yaifungulia Yanga, sasa ruksa kusajili

EXCLUSIVE: Dube Anakuja Yanga, Aziz Ki Afichua 'nitamtengenezea Nafasi' FIFA yaifungulia Yanga kusajili

Wed, 26 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la mpira wa miguu Duniani FIFA imeiondolea adhabu ya kutofanya usajili klabu ya Young Africa SC ambayo ilikuwa ikiwakabili kutokana na kushindwa kulipa madeni ya wachezaji wao wawili Mamadou Doumbia na Lazarous Kambole ambao walifungua madai yao FIFA na klabu hiyo kufungiwa

TFF imetangaza uamuzi huo wa FIFA huku na wao ikiondoa adhabu ya usajili kwa wachezaji wa ndani ambao pia klabu hiyo ilifungiwa kuwasajili.

Mchezaji yupi unatamani atue kwa wananchi?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live