Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Breaking: CAF yaahirisha droo ya makundi Ligi ya Mabingwa na Shirikisho

Caf Makundi Drooo Breaking: CAF yaahirisha droo ya makundi Ligi ya Mabingwa na Shirikisho

Tue, 15 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limeahirisha droo ya hatua ya makundi ya Klabu Bingwa Afrika (Caf Champions Cup) na Kombe la Shirikisho Afrika (Caf ConfederationCup) iliyokuwa ifanyike kesho Jumatano, November 16/2022 Jijini Cairo nchini Misri.

Shirikisho hilo limeomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza na kuongeza kwamba tarehe nyingine na muda ambao droo hiyo itafanyika itatangazwa baadaye.

Viongozi mbalimbali tayari walikuwa wameshawasili nchini Misri kwa ajili ya kuwakilisha timu zao na kushuhudia droo hiyo akiwemo CEO wa Yanga, Andre Martine.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live