Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Brazil wabeba mabegi yao na kusepa Qatar

Brazil Sepaaa.jpeg Brazil wabeba mabegi yao na kusepa Qatar

Sun, 11 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya taifa ya Brazil imeondoka jana Qatar baada ya kutolewa na Croatia katika mashindano ya Kombe la Dunia 2022.

Pichani, Richarlison akiwa na uso uliojaa unyonge anaonekana akijiandaa kupanda bus pamoja na kikosi chao kuelekea Airport.

Brazil iliondolewa na Croatia juzi katika hatua ya robo fainali baada ya kutoka sare ya bao 1-1 katika dakika 120.

Baada ya hapo yalitengwa matuta ambapo Croatia walitinga nusu fainali kwa ushindi wa penati 4-2.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live